Tuesday, December 8, 2015

Buddha


Siddhārtha Gautama (kwa Kisanskritसिद्धार्थ गौतम; kwa Kipali: Siddhattha Gotama) alikuwa mwalimu wa kiroho kutoka India.
Kutokana na mafundisho yake, ulianzishwa Ubuddha ambao unatazamwa kwa kawaida kuwa dini.[1] Katika mapokeo mengi ya Kibuddha anatazamwa kama Buddha mkuu (P. sammāsambuddha, S.samyaksaṃbuddha) wa wakati wetu, ambapo "Buddha" maana yake ni "aliyeamshwa" au "aliyeangazwa." [2]
Miaka yake ya kuishi haina hakika: wanahistoria wengi wa mwanzo wakarne ya 20 walitaja miaka 563 KK hadi 483 KK hivi,[3] lakini maoni ya siku hizi yanataja mwaka wa kufariki kati ya 486 KK na 483 KK au, hata kati ya411 KK na 400 KK.[4][5]
Kadiri ya akiolojia, Buddha aliweza kuzaliwa huko Lumbini, (leo nchiniNepal)[6][7][6] au huko Kapilavastu, Piprahwa, Uttar PradeshIndia au tena Kapileswara, OrissaIndia.[8][9][10][11][12]
Baadaye alifundisha huko na huko India mashariki, kama vile Magadha na Kośala.[13][14]
Gautama, anayejulikana pia kama Śākyamuni ("Mwenye hekima wa Śākyas").

heshima kuu kwa buddha ...

heshima  kuu  kwa buddha ; vyeo momoja ; wanga moja